Nafasi Ya Matangazo

January 23, 2012

 Wanenguaji wa Extra Bongo wakifanya vitu vyao jukwaani.
Baadhi ya watoto walioingia ukumbini wakicheza na sungura-mtu.
 Wakali Dancers  wakipagawawisha.
 Wakilishwa keki na kipande cha nyama wakati wa kutoka ukumbini humu, ikiwa ishara ya upendo wa uongozi wa ukumbi huo.
Nyomi la watu ile balaa.Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ismaili Thabit ‘Suma Lee’, Ally Tall ‘AT’, Mashauzi Classic, Extra Bongo ‘Next Level, na  Bendi ya Mashujaa usiku wa kuamkia leo walipata nafasi ya kufanya makamuzi ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.Wasanii hao waliwapagawisha mashabiki wa pande hizo  na wakausifia Dar Live wakisema kuwepo kwake kulikuwa mwanzo wa wao kufanya shoo za kimataifa  huko Mbagala.Miongoni mwa wasanii hao waliotumbuiza hapo kwa mara ya kwanza tangu ufunguliwe Januari Mosi mwaka huu, waliahidi kupiga shoo zaidi pindi wanapoalikwa.
Posted by MROKI On Monday, January 23, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo