Ofisa Uhusiano wa kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel,Jane Matinde akikambidhi sehemu ya msaada wa kompyuta 4,Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu waziri wa Ardhi ,nyumba maendeleo na makazi Bw. Goodluck Ole Medeye kwa ajili ya shule ya sekondari ya Mlangarini iliyoko Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya Mlangarini iliyoko Wilayani Arumeru Mkoani Arusha,Bw. Elisa John Pallangyo akitoa maneno ya shukurani kwa kampuni ya simu ya Airtel kwa msaada mkubwa walioutoa kwa ajili ya shule hiyo,pichani kati ni mgeni rasmi wa tukio hilo adhimu Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu waziri wa Ardhi ,nyumba maendeleo na makazi Bw. Goodluck Ole Medeye ,sambamba na Diwani wa kata ya Mlangarini,Bw.Mathias Erasto akishuhudia tukio hilo na shoto ni Ofisa Uhusiano wa Airtel.
0 comments:
Post a Comment