Nafasi Ya Matangazo

January 06, 2012

Mshindi wa shilingi million 50 wa promotion ya Mzuka wa Airtel Bw.Saimon Bernard Simo (katikati) akiweka saini kwenye fomu ya kuthibitisha malipo ya fedha hizo mbele ya Meneja Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel Bw.Jackson Mmbando (kulia) na Afisa Uhusiano wa kampuni ya Airtel Bi. Jane Matinde (kushoto) huko nyumbani kwa mshindi huyo Gongo la mboto.Airtel imemtembelea mshindi huyo leo.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Bi, Jane Matinde (kulia) akikabidhi zawadi mbali mbali kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Airtel,familia ya mshindi wa shindano la Mzuka wa Airtel Bw.Saimon Bernard Simo (watatu toka kushoto) huko nyumbani kwao gongo la mboto. wa kwaza kulia ni dada ya Saimon, Bi. Rose Bernard Simo na wa pili ni Bi Regina Saimon mama mzazi wa Saimoni.
Mama wa mshindi wa miliioni 50 wa shindano la mzuka wa Airtel ,Bi. Regina Saimon (kushoto) akielezea furaha yake kwa Afisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Bi. Jane Matinde (katikati) baada ya kupata taarifa ya kuwa mtoto wake, Bw Saimon Bernard Simo (kulia) amejishindia kitita cha shillingi millioni 50 kupitia shindano la Mzuka wa Airtel ambalo linaendelea mpaka sasa kwa wateja wa Airtel. Airtel imemtembelea mshindi huyo leo.
Posted by MROKI On Friday, January 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo