Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kutembelea Banda la Wizara ya Fedha hii leo na kuendelea na ziara yake katika mabanda ya mengine ya Wizara na taasisi mbalimbali zinazoshiriki katika Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Maonesho hayo yanataraji kufungwa kesho Desemba 12, 2011 na Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda.
0 comments:
Post a Comment