Nafasi Ya Matangazo

December 09, 2011


Rais Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama,kwenye maadhimisho ya miaka 50 Uhuru,kwenye viwanja vya Uhuru jijini Dar.

Rais Jakaya Kikwete, akisimama kwa heshima wakati ikipigwa mizinga.





Rais Jakaya Kikwete, akiingia uwanjani kwa kutumia gari la wazi huku akiwapungia mkono watu mbalimbali waliofika kwenye maadhimisho hayo,yaliyofana kwa kiasi kikubwa kwenye viwanja vya Uhuru,jijini Dar..
 Askari wakipita mbele ya jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa Rais.
 Askari wakipita na kutoa heshima Jukwaa kuu.


Mbwa akimpiga mtama mhalifu wakati wa liheso ya mbwa waliofundishwa kudhiti waharifu, wakati wa sherehe hizo.
Posted by MROKI On Friday, December 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo