KAMPUNI YA INSIGHTS CONSULTANT INAAWAALIKA WANAWAKE WOTE KWENYE KONGAMANO LA MWANAMKE WA KITOFAUTI ‘’PHENOMENAL WOMAN CONFERENCE’’.
LINI: JUMAMOSI 17/12/202011.
KAULI MBIU: “MWANAMKE ALIYEKAMILIKA, JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUWA CHOCHOTE ANACHOTAKA BILA KULAZIMIKA KUCHAGUA NA KUPOTEZA HAKI ZAKE ZA MSINGI(MFANYAKAZI, MJASIRIAMALI, MFANYABIASHARA, DADA, MKE NA MAMA)’’.
MSEMAJI MKUU:Gertrude Mungai;
MAKAMU MWENYEKITI, CHAMA CHA SARATANI KENYA NA MTAALAM WA MAMBO YA UJINSIA,MTAALAM WA AFYA BORA NA MAHUSIANO
MSHAURI WA NDOA NA MFANYA BIASHARA KUTOKA KENYA. ‘’MAISHA YALIYOKAMILIKA, KUJITAMBUA, KUJIDHAMINI NA
KUHESHIMU UTU WAKO’’.
Watoa Mada Wengine;
Jacqueline Mneney Maleko, MKURUGENZI MSAIDIZI, WIZARA YA BIASHARA NA MASOKO.
‘’KUGUNDUA FURSA ZA MAANA ZA BIASHARA NA BIASHARA ZA KIMATAIFA.
Margaret Chacha Mkurugenzi, Tanzania Women Bank (TLB)‘KUJUA ALAMA ZA NYAKATI, KUCHUNGUZA MUENDENDO WA UCHUMI NA KUWEKEZA KWA HEKIMA.
Susan Joseph Lyamuya, Mwenyekiti, Kiwangwa Agricultural Group ‘KUTAFSIRI NDOTO NA MAONO YAKO KUWA HALISIA NA KUTIMIZA NA KUENDELEZA NDOTO ZAKO.
MUDA: SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI (2.30) HADI SAA KUMI NA MOJA NA NUSU:(11.30) JIONI
WAPI: SAVANNA LOUNGE, QUALITY PLAZA, NYERERE ROAD, DAR ES SALAAM.
KIINGILIO: LAKI MOJA (100,000/-) KONGAMANO PAMOJA NA Cocktail.
‘‘KAMA UPEPO WA KISULISULI NAENEDELEA KUPAA’’ Maya Angelou
WASILIANA NA
Marion and Raziah
starcarman@gmail.com
0763 580600/0655 606041/0756 606041/0784 606041
0 comments:
Post a Comment