Nafasi Ya Matangazo

December 14, 2011


Afisa Masoko wa Global Publisher Benjamini Mwanambuu (kushoto) akimkabidhi cheti cha kushiriki na kudhamini Seminar ya Umaskini Fullstop Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde,  cheti hicho cha shukurani kimetolewa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  kwa kudhamini seminar ya umaskini fullstop na burudani ya Muziki iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwenzi November na kuudhuriwa  na wakazi wengi wa jijini hapo.
Posted by MROKI On Wednesday, December 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo