Nafasi Ya Matangazo

November 24, 2011

 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akiwaangalia Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Tanzania Mwamvita Makamba katikati akisalimiana  na mjumbe wa jukwaa la wahariri  Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo  alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza  akiongea na wajumbe wa  Jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha ,kushoto  Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom  Kibanda,na katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Tanzania Nector Pendael (kulia) akiteta jambo na Mmoja wa Wahariri Dinner Chahali kutoka Channel 10.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri  Absalom  Kibanda akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza kushoto, kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini Tanzania,wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa Jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam jana,katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Mwamvita Makamba.
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Tanzania Nector Pendael,akiwaelekeza baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari namna ya kutumia Webbox inayounganishwa kwenye Luninga na kutoa  huduma ya mtandao wakati mkurugenzi  mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri  Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo  alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri  jijini Dares Salaam jana.
Baadhi yawajumbe wa jukwaa la  wahariri wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani alipokuwa akiongea nao wakati wa kujitambulisha kwa jukwaa hilo.
Posted by MROKI On Thursday, November 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo