Nafasi Ya Matangazo

October 15, 2011

Madereva wa mabasi wakizingatia usalama wa barabarani pamoja na watumiaji wengine wa barabara hizo tunaweza kuepuka ajali zisizo za lazima ambazo hupelekea vifo, ulemavu na uharibufu wamali. JanaBlogu hii ya Father Kidevu ilisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya njiani ilishuhudia ajali moja tu ya roli lililopinduka eneo la Mikese Mkoani Morogoro karibu na Mizani. Magari mawili iliyakuta yakiwa yameharibika tu njiani moja ikiwa ni Mlima waKitonga. Hali ya kutokuwa na ajali ilinifurahisha sana na kusema kumbe madereva mnaweza kuepusha ajali bila kushurutishwa iwapo tu busara itatumika barabarani.
Posted by MROKI On Saturday, October 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo