Nafasi Ya Matangazo

October 15, 2011

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto zoezi la jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani Oktoka 15,2011 katika viwanja vya Karimjee.
Sehemu ya tukio lilifanyika sherehe ya maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani okt.15.2011 jijini Dra es Sal;aam.
Wasanii wa Kikundi cha Orijino Comedy kikionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani lililofanyika okotoba 15,2011 jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo pichani.
Picha ya pamoja iliyopigwa pamoja na mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ,uongozi wa Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii pamoja na wawakilishi wa watoto waliokuwepo kwenye maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani- oktoba 15,2011.
Baadhi ya watoto pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Dar es salaam wakipita mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani oktoba 15,2011 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 
(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Posted by MROKI On Saturday, October 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo