Ujenzi wa Kipande cha barabara cha Ruaha-Iringa kimekamilika na hakika barabara hii ina kila sifa ya kujivunia sambamba na miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Picha hii imepigwa leo. Serikali inao wajibu wa kuhakikisha barabara za namna hii zinajengwa kutoka Dar-Iringa-Njombe Mbeya, Dar - Kigoma, Dar - Mtwara, Dar - Arusha na katika njia zote za mikoa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment