Nyumba hii ipo mjini Morogoro inatazamana kabisa na Bar maarufu ya Top Life, unaweza stuka na kustaajabika kuona imeungwanishwa na umeme washirika letu maarufu la Ugavi wanishati hiyo. Uchakavu wa nyumba hii unatia shaka iwapo Tanesco wanakusanya bili zao hapa na kama imekatiwa umeme sijui utakuwaumekatwa kwa njia gani kwani nyaya zipo toka katika nguzo bila kutenganishwa.
October 17, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh!! Hiyo nyumba naikumbuka, hapo atokee mwenye hela amnunue huyo ahame mana inaharibu taswira ya mji.
ReplyDelete