Nafasi Ya Matangazo

October 17, 2011

Kaimu Kamnada wa Polisi Mkoa wa Mbea, Anaclet Malindisa akizindua rasmi maandamano ya amani ambayo ni sehemu ya tamasha la Kili Jivunie Utanzania yaliyofanyika mwishoni mwawiki Mkoani Mbeya. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro waandaaji watamasha hilo, George Kavishe.
 Maandamano hayo pia yalikuwa na msafara mkubwa wa pikipiki.
 Ilikuwa ni furaha kwa kila aliyeshiriki katika maandamano hayo.
Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia) akiliongoza kiundi hilo jukwaani  katika tamasha la Kili jivunie Utanzania lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vyua CCM Ilomba mkoani Mbeya.
 Mwimbaji nguli Ramadhani Masanja a.k.a Banza Stone a.k.a Akayesu akitumbuiza wana Mbeya katika Tamasha la Kili Jivunie Utanzania.
Wanenguaji wa kundi la muziki wa dansi la Extra Bongo, wakicheza show wakati kundi hilo lililopotoa burudani kali katika tamasha la Kili jivunie Utanzania lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Mbeya katika viwanja vya CCM Ilombo.
 Bonanza la soka nalo lilipigwa kwa Makampuni Mbalimbali kushiriki kama TBL, Zantel, Pepsi na timu mbalimbali zamitaani.
Wakazi wa Mji wa Mbeya wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea.
Posted by MROKI On Monday, October 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo