Nafasi Ya Matangazo

October 18, 2011

 Baada ya safari ndefu ya kutoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam, Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando aliamua kusimamisha gari kandokando ya barabara kuu ya Morogoro-Iringa eneo la Lugono katika Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro na kupata nyama ya mbuzi iliyochomwakwa ustadi mkubwa.
Nyama hizi ni tamu asikuhadithie mtu na siku ukipita eneo hilo simama na uonje. Gharama yake ni nafuu na mitamu unaweza umalize mbuzi mzima kwautamu wake.
Posted by MROKI On Tuesday, October 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo