Nafasi Ya Matangazo

October 18, 2011

Basi la abiria likiwa limejaza kupita kiasi hadi abiria wengine kuning'inia katika daladala lenye namba za usajili T617ASZ linalofanya safari zake kati ya Morogoro Mjini na Merela Wilayani Mvomero katika barabara kuu ya Iringa, likipita katika eneo la Merela kuelekea mjini Morogoro Oktoba 17, 2011 jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa abiria hao. Lakini swali ni je Askari wa usalama barabarani wa mkoa wa Morogoro wanao kaa eneo hilo walikuwawapi na kuruhusu gari hili kupita?.
Posted by MROKI On Tuesday, October 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo