Nafasi Ya Matangazo

October 20, 2011

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA akiongea na umoja wa wanavikundi wa UVUMA wakati wa uzinduzi oktoka 19.2011 katika kata ya Majohe Mkoani Dar es Salaam. Pichani mwengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa Sadick Mecky Sadick.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kushoto)akikabidhi zawadi ya seti moja ya komputa kwa Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya WAMA Tatu Mwenda ((kulia) wakati wa uzinduzi wa umoja huo Oktoka 19. 2011 katika eneo la Nyarugusi kata ya Majohe mkoa wa Dar es salaam. Omoja huo unajumla ya vikundi 40 vyenye jumla ya watu mia saba (700) .
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Salma Kikwete(kulia) akizindua nembo ya wanakikundi wa UVIMA wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Umoja huo Oktoba 19,2011 kata ya Majohe mkoani Dar es salaam ,ambapo jumla ya vikundi arobaini vyenye jumla ya watu mia saba wameunganishwa, (kulia) ni Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi viliopo chini ya Taasisi ya WAMA Tatu Mwenda.
Managing Director wa kampuni ya J and L Handicrafts kutoka jijini Dar es Salaam Louise Judicate Mushi akionyesha sanaa ya kinyago cha samba ambacho ametoa kinadiwe na kuuzwa kwa bei itakayopatika ,huo ndio utakuwa mchango wake kwaajili ya kusaidia umoja wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya WAMA , (oktoba 19,2011.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye mtandio mweusi ) akiangalia s maonyesho ya shughuli mbalimbali za kazi zinazofanywa na muungano wa wanavikundi vilivyokuwa chini ya Taasisi ya WAMA wakazi wa uzinduzi oktoba 19,2011 kta ya Majohe mkani Dar es Salaam, (kulia mwenye mtandio mweupe ) na Mwenyekiti wa umoja huo (UVIMA) Tatu Mwenda.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sadick Mecky Sadick akoingea na wanakikundi wakati wa uzinduzi huo (kulia) ni Mama Salma Kikwete na (kushoto) ni mbunge wa Ukonga Eugine Mwaiposa.
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Posted by MROKI On Thursday, October 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo