Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua lambo la kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti baada ya kupandikiza vifaranga wa samaki kwenye lambo hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mara Septemba 20, 2011.
Waziri Mkuu, akimsadia Winfrida Makondo wa kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti kubeba maji baada ya kuzindua lambo la kijiji hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mara, Septemba 20,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa wakikagua bwawa la Manchira lililopo Mugumu wilayani Serengeti, Septemba 20,2011. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Mara.
0 comments:
Post a Comment