Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifungua kliniki ya mama na mtoto katika kituo cha afya cha kanisa Katoliki jimbo la Musoma cha Masanga wilayani Tarime. Alikuwa katika ziara ya mkoa huo Septemba 21,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Sister Maria wakati alipowasili kwenye misheni ya Kanisa katoliki ya Masanga wilayni Tarime akiwa katika ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 21,2011.
Wasanii wa Tarime wakicheza ngoma maarufu ya Eritungu wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara katika Misheni ya kanisa Katoliki ya Masanga akiwa katika zaira ya mkoa wa Mara, Septemba 21,2011.
0 comments:
Post a Comment