Nafasi Ya Matangazo

September 16, 2011

Ibrahim Kaude na mkewake Rahma Othumani Mohammed wakiwa katika pozi la picha wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam  11/09/2011. Maharusi hao walifunga ndoa yao siku ya Ijumaa ya tarehe 09/09/2011 katika msikiti wa Al-Masjid Daarul-hud uliopo Kigurunyembe Mkoani Morogoro.
Mwenzagu Pokea pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako na uaminifu wangu kwao. Ndivyo inavyoonekana Rahma akisema wakati alipokuwa akimvisha pete ya ndoa mme wake Ibra Kaude wakati wa swala ya ndoo iliyofanyika 09/09/2011 Kingurunyembe mkoani Morogoro.
Posted by MROKI On Friday, September 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo