Meneja wa Kanda wa Kampuni ya ndege ya Emirates, Abdul Aziz Alhaj (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam wakati kampuni hiyo ilipowatembeza waandishi hao katika ndege ya Airbus A340 Dar es Salaam Septemba 13,2011. Karibu yake ni Meneja wa Emirates Uwanja wa Ndege, Juma Abubakar.
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
4 minutes ago
0 comments:
Post a Comment