Tarehe 19, 2011 Kampuni ya simu za mkoni Airtel leo imecheza droo ya mwisho ya promosheni ya Kwanjuka.
Promosehen ya kwanjuka ilikuwa ikiendeshwa na Airtel tangu April 24 2011 Akizungumza na waandishi wakati wa kucheza droo ya mwisho ya promosheni hiyo Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema “Tunachukua fursahii kuwashukuru washindi wote pamoja na washiriki wa promosheni ya kwanjuka ambao kwa kushiriki kwao ndio mafanikio ya promosheni hii Promosheni ya Kwanjuka ilikuwa na lengo la kurudisha kiasi cha faida tunayoipata kwa wateja wetu na ndio maana promosheni hii ilivyoleta mafanikio zaidi tuliamua kuongeza zawadi na muda wa promosheni ili kuendelea kuwafaidisha wateja wetu zaidi Leo hii tunafikia mwisho wa promosheni tukiwa tunahistoria ya kupata washindi kutoka sehemu mbalimabli hasa mikoani, na leo tupo na mshindi wetu wa kwanza wa million 50 Andre Isaya Gowa toka Morogoro.
katika droo ya mwisho ya Kwanjuka leo tumempata Bw,Majid Amir wa Moshi miaka 51 ambae ameibuka mshindi wa milioni 20 washindi wengine walioibuka na milioni 1 kila mmoja ni David Kirongora wa DSM Lugalo mstaafu umri miaka 56, Donald Bazilai wa DSM mfanyakazi umri miaka 48,Kalesho John wa Moshi umri miaka 50 lecturer/ mwalimu wa chuo na walioibuka na milioni 5 ni Said Ismail wa Shinyanga umri miaka 39 na Richard Mbikila wa DSM umri miaka 50.
Walioingia katika droo hii leo ni wale wateja waliojiunga na kushiriki promosheni ya Kwanjuka, ili kujiunga mteja alitakiwa kutuma neno KWANJUKA kwenda namba 15656 kisha mteja alianza kupokea maswali na akiyajibu kwa usahihi alijiongezea pointi ya kuwa mshindi Bado Airtel tutaendelea kuandaa promosheni kabambe kama hizi na hivi karibuni tegemeeni promosheni kubwa zaidi .
Vile vile Airtel tunaendelea kuboresha huduma zetumjini na vijijini kwa kuwapatia wateja wetu huduma bora kwa gharama nafuuu kuliko mtandao wowote. Kwa sasa Airtel tumepunguza Gharama za viwango vya kupiga simu Kenya na Uganda na kuwapatia wateja wetu punguzo la kudumu kupiga Airtel Kenya na Airtel Uganda kwa gharama mpya nafuu zaidi ya Sh 2 na senti 50 tu kwa sekunde badala ya Sh 5 na senti 30!.
Pia wakati kampeni yetu ya Hamia Airtel ikiendelea nchi nzima wiki hii tunatarajia kuzindua huduma za mawasiliano huko Kibena Iringa, Lumecha Ruvuma na Kiwira Ikuti Mbeya ambapo tunaendelea kutimiza dhamira yetu ya kufikisha huduma zetu za mawasilino katika miji na vijiji mbalimbali na kuwafikia watanzania wengi zaidi.

Toka kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi. Dangio Kaniki akiongea kwa simu na mshindi wa promosheni ya KWANJUKA wakati wa droo ya mwisho ya promosheni hiyo iliyofanyika katika ofisi za Airtel jijini Dar es salaam ambapo Bw,Majid Amir aliibuka mshindi wa milioni 20. Katikati akishuhudia ni Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania Bw, Jackson Mmbando pamoja na Ofisa toka bodi ya michezo ya kubahatika bwa Humudi Abdul Hussein. Promosheni hiyo imefikia mwisho leo ambapo washindi wengine walioibuka na milioni 1 kila mmoja ni David Kirongora, Donald Bazilai,Kalesho Jones na walioibuka na milioni 5 ni Said Ismail na Richard Mbikila.
0 comments:
Post a Comment