Bi Usu-Emma Sindila (kushoto) akiwa ni mwenye tabasamu kali wakati wa siku maalum ya kutoa shukrani kwa wazazi, ndugu jamaa na marafiki kwa malezi mema waliyompa na hatimaye sasa ameona akaanzashe familia yake mpya. Ussu alifanya tafrija hiyo Agosti 4, 2011, katika Ukumbi wa Msimbazi jijini Dar es Salaam. Kulia ni shostito wake Restituta James.
Usu-Emma na Mpambe wake Rest wakila pozi la utulivu wakiangalia mnuso unavyokwenda.
Ulifika wasaa pia ambapo Usu-Emma alitabanaisha wageni waalikwa kuwa huyu Philip Cyprian kuwa ndiye mumewe mtarajiwa watake enda Kanisani Jumamosi Agosti 6, 2011 kufunga ndoa takatifu na kuanza familia yao ya mke na mume.
ilikuwa ni bata kwenda mbele kama Zamzam na shosti yake hapo wakiwakilisha.
Hakika watu walikuwepo maana shughuli ni watu na watu ndo shughuli, hawa wote ni wanataaluma na Biharusi Mtarajiwa Ussu, naamanisha ni Waandishi wa Habari wenzake. Nzuri zaidi hata Bwana Harusi ni Muandishi wa Habari.
Tulipiga picha ya pamoja na Biharusi mtarajiwa Usu-Emma.
Mungu akutangulie katika ndoa yako.
0 comments:
Post a Comment