Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2011

Simba 2 Yanga 0. 
Timu ya Soka ya Simba hadi sasa inaongoza kwa magoli mawili yaliyofungwa katika kipindi cha kwanza kupitia kwa wachezaji Haruna Moshi "Boban" na Felix Sunzu. Mchezo huo wa Simba na Yanga ni wakuwania Ngao ya Jamii katika kufungua pazia la ligi Kuu. Unachezwa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Wednesday, August 17, 2011 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo