Nafasi Ya Matangazo

August 18, 2011

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi jezi kwa Katibu wa Heshima wa Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (TLGU) Anita Siwale ikiwa ni sehemu ya udhamini wa Airtel katika mashindano ya Wazi ya Ridhaa ya Wanawake yanayotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Gofu vya TPDF Lugalo jijin I Dar es Salaam kuanzia tarehe 20 mwezi huu na kudhaminiwa na Airtel.
Posted by MROKI On Thursday, August 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo