Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto wanaotoka katika jimbo la Bumbuli, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma  Augost 17,2011.  Kulia kwake ni Mbunge wa Jimbo hilo, January Makamba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arusha  Mjini, Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost17,2011.
Waziri Mkuu,Mizengo PInda  akisalimiana  na Makatibu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) wa kata za mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 17,2011.  Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Mtwara, Anastazia Wambura.
Posted by MROKI On Wednesday, August 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo