Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2011

Usiku Huu Timu kongwe za Soka Nchini Tanzania ambazo ni mahasimu wakubwa Simba na Yanga zinakipiga katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ngao ya Hisani kwaajili ya kufungua Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Je Simba huyu anaashiria nini kwa hicho anachofanya? Yanga atakliwa leo?
Posted by MROKI On Wednesday, August 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo