Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2011

Mkazi wa Pongwe Tanga, Hadija Rashidi (kulia) akipima virusi vya  ukimwi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa  HIV/AIDS iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga katika mji wa Pongwe  mkoani humo jana. Anayemtoa damu ni muuguzi kutoka katika Hospitali ya  Mkoa ya Bombo, Immaculata Kadaga.
Mkazi wa Pongwe Tanga, Selina Anthony (kulia) akipima virusi vya  ukimwi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa  HIV/AIDS iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga katika mji wa Pongwe  mkoani humo jana. Anayemtoa damu ni muuguzi kutoka katika Hospitali ya  Mkoa ya Bombo, Immaculata Kadaga na mtoto aliyebebwa ba Selina ni  mjukuu wake, Gerald Rashidi.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji Tanga, David Lee  (kulia) akitolewa damu kupima virusi vya ukimwi wakati wa uzinduzi wa  kampeni ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa HIV/AIDS iliyoandaliwa na
 kampuni hiyo kwa wakazi wa mji wa Pongwe mkoani humo jana. Anayemtoa  damu ni muuguzi kutoka katika Hospitali ya Mkoa ya Bombo, Immaculata  Kadaga.
Mkazi wa Pongwe Tanga, Zainabu Hamza (kulia) akipewa ushauri  nasihi kuhusu ugonjwa wa ukimwi mara baada ya kupima damu wakati wa  uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa HIV/AIDS  iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga katika mji wa Pongwe mkoani  humo jana. Anayetoa ushauri ni muuguzi kutoka katika Hospitali ya Mkoa  ya Bombo, Elizabeth Lawuo. Anayeangalia ni mtoto wa Selina, Amina  Adamu.
Posted by MROKI On Thursday, July 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo