Hapa baadhi ya wahariri wakishuka katika moja ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kwenda mkutanoni Arusha kwenda kupata Chai pale Chalinze.
Wakiingia kupata chai
Hapa baada ya Chai baadhi ya Wahariri kutoka Zanzibar wakisalimiana na wenzao wa bara.
Hapa wakisubiri tena kupanda mabasi kuendelea na safari.
Hapa ni katikati ya Hedaru na Makanya watu walishuka kunyoosha miguu...ieleweke si kuchimba dawa maana mabasi yalikuwa na vyoo ndani.
Hapa ni picha ya karibu zaidi kati ya wadau na timu ya Serengeti Breweries ambao ndiuo wamedhamini mkutano huo wa Wahariri wa Habari kupitia Jukwaa la Wahariri.




0 comments:
Post a Comment