Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2011

 Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Jaji Mstaafu, Mark Bomani akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Arusha hii leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Siku Mbili wa Wahariri ulioandaliwa na Jukwaa la Wahariri (TEF) na kufanyika mjini hapa.
 Jaji Mark Bomani ambaye mbali na kuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL lakini pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Vyombo vya Habari nchini akifungua mkutano huo. Pamopja nae kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda na Katibu Mkuu wa TEF, Nevily Meena.
Baadhi ya wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo wa siku mbili wa "Editors Retreat" unaofanyika katika Hoteli ya Kibno Palace mjini Arusha wakimsikiliza Jaji Mstaafu Mark Bomani wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Posted by MROKI On Thursday, July 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo