Mkurugezni wa Mawasiliano SBL Teddy Mapunda akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuzindua rasmi mradi huo mapema leo.
Wanakijiji hao wakibeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo
Wanakijiji hao wakibeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo
Mkurugenzi wa Mawasilano Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Teddy Mapunda wa pili kutoka kulia akichanganya mchanga pamoja na wafanyakazi wenzake Imani Lwinga Meneja mawasiliano wa ndani na Nandi Mwiyombela wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa nyumba wa wakoma zilizopo katika kambi ya Samaria kijiji cha Hombolo mkoani Dodoma leo, nyumba hiyo itamaliziwa kwa thamani ya shilingi milioni 7 za kitanzania.
0 comments:
Post a Comment