Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa wananfunzi wa shule za sekondari waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita baada ya kuwakabidhi vyeti na kuwatambulisha kwa wabunge mjini Dodoma Julai 1,2011 Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt, George Mkuchika na Kushoto kwake Waziri wa Elimu, Utamaduni na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru.
Baadhi ya wananfunzi wa shule za sekondari waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita wakiingia kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma kuwakabidhiwa vyeti na kutambulishwa kwa wabunge Julai 1,2011
0 comments:
Post a Comment