Nafasi Ya Matangazo

July 24, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizindua Mradi wa MPesa Women Empowerment  Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha  Buigiri Chamwino Dodoma , JUlai 23, 2011. Wapili kushoto ni  Murugenzi Mtendaji wa CODACOM, Bw. Dietiof Mare.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalikmiana na baadhi ya wanawake walionufaika na \mikoko iliyotolewa na Mfuko wa VODACOM  FOUNDATION baada ya uzinduzi wa  Mradi wa MPesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha Buigiri, Chamwino Dodoma, Julai 23, 2011. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa  VODACOM,  Bw. Dietiof Mare.
Posted by MROKI On Sunday, July 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo