Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akiwaelekeza babondia Rashidi Mhamila, YOhana Robart na Omari Bai jinsi ya kupishana na kumi pamoja na kupiga wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayofanyika
Amana CCM.
Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akimwonesha jinsi ya kupiga tumbo bondia Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM DAr es Salaam Robart anajiandaa na mpambano na Rashidi Ally utakaofanyika jumamosi ya Julay 9.
0 comments:
Post a Comment