Hakika wanaosema vipaji vya watoto vyastaili kuendelezwa bila ya kuangalia hicho kipaji ni cha nini hawajakosea, pichani ni mtoto Mathias Frankline akicharaza drams wakati alipopita katika banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo na kulilia kwenda kupiga chombo hicho cha mziki kwa ufundi licha ya umri wake kuwa mdogo na alikuwa akitaka kinanda kipigwe na wengine waimbe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment