Nafasi Ya Matangazo

June 26, 2011

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika semina ya sikumbili ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa wilaya kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar Mjini Dodoma Juni 26, 2011.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye semina yao ya siku mbili kwenye kituo cha mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 26, 2011.
Posted by MROKI On Sunday, June 26, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo