Hili ndio banda la Mustafa Hassanali katika Maonesho ya Dar Fashion Week.
Mbunifu maarufu wa mitindo Tanzania na Africa, Mustafa Hasanali akimhudumia mmoja wa wageni waliotembelea tamsha hilo.
Suzan Mungi akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mustafa
Rose Valentine nae akiangua saini...
Musata Hassanali akiwa na waandaaji wenzake wa DFF, Lucy Naivasha, Meneja Masoko wa Mustafa Hassanali Hamis Omary na Michelangela Adamo ambaye ni mgeni kutoka Ubalozi Itali.
0 comments:
Post a Comment