Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2011

Wakati tunaelekea kuadhimisha mika 50 ya uhuru bado miji na majiji yetu hapa nchini ni machafu kupita kiasi, hii ni kuanzia kwa taka ndogo ndogo ardhini hadi katika majengo ya watu binafsi na serikali ambayo mengi hutumika kama ofisi au makazi katikati ya miji.

Mbali na hilo lakini pia matangazo kama haya ambayo yamepitwa na wakati ni uchafu pia katika mitaa ya jiji kama la Dar es Salaam ambalo kila kukicha hupokea watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na dunia.

Hivi kwanini tusiende na wakati? Si kuna maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma pale Mnazi mmoja au yale makubwa yanayokuja ya Maonesho ya Bidhaa ya sabasaba, kwanini tusitangaze hayo bure kama kubadundua mabango haya kunashindikana?.
MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAENDANE NA USAFI WA MAJENGO NA MAZINGIRA.
Posted by MROKI On Tuesday, June 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo