Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2011

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kulia) akikabidhi funguo za bwalo la kulia chakula kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Padri Beatus Sewando, kilichopo Wilayani Mvomero, Morogoro jana. Msaada huo umegharimu jumla ya shs milioni 57.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa watoto wanaolelea katika Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Ima Kamota.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na Mwanzilishi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Mama Josephine Bakita.
Posted by MROKI On Tuesday, June 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo