.Dr. Aisha Mero akimpima afya yake Bi. Agatha katika banda lao, huduma hii hapo haina malipo.
Huduma kwa wastaafu ni moja ya Mafao muhimu kwa wanachama wa Mfukoi wa Bima ya Afya.
Maofisa wa NHIF, Erastus Msigwa na Aneth Hyera wakihakiki majina ya wanachama.
Diwani wa viti Maalum Kibaha Vijijini ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Uhuri, Selina Wilson akipewa somo juu ya mfuko huo juu ya Halmashauri zinavyoweza kuwa chachu ya Kampeni ya uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) anayempa maelekezo hayo ni Meneja Mfawidhi wa CHF, Athuman Rehan. Katikati ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Deusdedit Rutaza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bladina Nyoni akizungumza jambo na Mrisho Mpoto. Mpoto akiwa amevalia kivazi cha Mkeka.
0 comments:
Post a Comment