Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood akisalimina na Kamishna wa Bunge, Dk. Maua Daftari (kulia) na Faida Mohamed Bakar nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo wakati walipowasili kwaajili ya kusikiliza bajeti ya serikali 2011/2012.
Mbunge wa Mvomero, Amos Makala (kulia) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Magazeti ya Serikali (TSN) Willson Mukama nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo alipofika kusikiliza hotuba ya Bajeti. Katikati ni Waziri w Katiba na Sheria na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celine Kombani.
Waandishi wa Habari wakitembea kwa makundi jana kuingia Bungeni kuripoti Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2011/2012 iliyosomwa na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo.
0 comments:
Post a Comment