Mbunge wa Bumbuli na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Januari Makamba akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo juu ya Bajeti ya fedha ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2011/2012.
Waandishi wa Habari wakiwa katika mahojiano na Mbunge wa Bumbuli na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini juu ya Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2011/2012 mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo amesoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2011/2012.
0 comments:
Post a Comment