Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua jengo la Bank House la Benki ya NMB lililokarabatiewa, jijini Dar es salaam May 4, 2011. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha , Pereira Ame Sillima na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Meshack Ngatunga.
0 comments:
Post a Comment