Mshindi wa Vodacom Miss Kilombero katikati Salma Suleiman kushoto mshindi wa pili Asha salehe na kulia mshindi wa tatu Rehema Malwa.
Mshindi wa Miss kilombero katikati Salma Suleiman kushoto mshindi wa pili Asha salehe na kulia mshindi wa tatu Rehema Malwa
Anayepunga mkono Miss. Kilombero 2010 Flora Florence , kulia kwake ni Rehema Malwa (3) na Asnati Hamis (5) Kutoka kulia ni Sharifa Issa (4), Asha Saleh Hamoud (2) na Salma Sleiman Kuyela (1).
washiriki hao wakiwa jukwaani wakati wa mashindano.
Najma Ally - Miss TALENT REDDS Kilombero 2011
0 comments:
Post a Comment