Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, akipokea Tuzo ya Heshima kutoka Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) aliyokabidhiwa usiku wa Mei 6, 2011 na Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal.
TASWA kimempa Mkapa tuzo hiyo kutokana na mchango wake katika michezo hasa ujenzi wa uwanja mpya wa Taifa. Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda.
Aidha katika utoajiwa tuzo hizo kwa Wanamichezo bora 2010 mchezaji Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa Netball kutoka timu ya Jeshi la Kujenga Taifa -JKT Mbweni alijinyakulia tuzo na zawadi ya gari baada ya kuibuka mshindi wa jumla.





0 comments:
Post a Comment