Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2011

Mgeni rasmi Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa hoteli ya Movenpic jijini Dar es Salaam leo akiongozwa na ofisa uhusiano wa SBL Teddy Mapunda.
Makamu wa Rais Dk. Bilali akiwa na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa....
 mpigapicha wa Habarileo, Fadhili Akida akiteta jambo na Mwani Nyangasa na waandishi wengine wa habari za michezo.
  Baadhi ya wanakamati ya maandalizi ya tuzo za Mwanamichezo bora zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michjezo Tanzania (TASWA) wakiwa katika hafla hiyo. 
 Wageni mbalimbali na wadau wa michezo walialikwa
 hii ni meza ya wana masumbwi....
 Waandishi na wadau wa michezo...
 Viongozi wa Vyama vya Michezo ....
Mpigapicha za Michezo wa siku nyingi Athumani Hamisi nae alishiriki katika hafla hiyo.
Picha kwa Hisani ya JIACHIE
Posted by MROKI On Saturday, May 07, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo