Mei 14, 2011 itakuwa ni siku ya kukumbukwa sana na Bwana Ray-Nold na Bi. Tina kufuatia maamuzi yao ya busara ya kuamua kuwaa mwili mmoja na kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama Dar es Salaam na kufuatiwa na Tafrija ya kukata na shoka katika ukumbi wa New Mawela Sinza. Bwana Harusi ni Mfanyakazi wa Wizara ya Afya wakati Bi Harusi ni Mfanyakazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu.
Maharusi wakifuatilia matukio katika tafrija yao..
Wageni waalikwa...
Burudani mwanzo mwisho...
Picha na MD Digitala Company.




0 comments:
Post a Comment