Nafasi Ya Matangazo

May 05, 2011

 Mkazi wa Kijiji cha Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro akiangalia gofu la ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijijini hapo ambayo iliwekewa jiwe la msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge mwaka 1991 lakini hadi sasa ni kama liliachiwa laana halijakamilika ujenzi wake. Jambo ambalo linawafanya wanachama wa chama hicho kuwataka viongozi wa Chama Kujivua Gamba na kujenga ofisi hiyo haraka.
 Msingi unavyoonekana tangu mwaka 1991 na sasa ni 2011.
Jiwe hilo la Msingi. Je Viongozi wa CCM mko wapi kuhakikisha Ofisi hii inajengwa, na iwapo Ofisi ya Chama inashindikana vipi shughuli za chama na maendeleo zinahamasishwa.
Posted by MROKI On Thursday, May 05, 2011 1 comment

1 comment:

  1. MchunguziMay 06, 2011

    We Mroki usiashum kila mtu anajua kila sehemu hapa Tanzania.

    We ni mwanahabari, kazi yako ni kutuhabarisha. hicho kijiji kiko sehemu/mkoa gani?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo