Nafasi Ya Matangazo

May 05, 2011

 Balozi wa Misri nchini TanzaniaWael Abdel Nasr(kulia) akionyesha kumkabidhi Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Said A. Mwema jana jijini Dar es Salaam baadhi ya maboksi yenye vifaa vya hosptali ya Polisi ya kilwa road wenye thamani ya dolari za kimarekani laki tano kutoka nchi ya Misri kwa ajili ya kuboresha huduma za matibabu ya hospitali hiyo
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Said A. Mwema akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za makabidhiano ya msaada wa dawa na vifaa vya hosptali ya Polisi ya kilwa road wenye thamani ya dolari za kimarekani laki tano tano kutoka nchi ya Misri kwa ajili ya kuboresha huduma za matibabu ya hospitali hiyo. Kushoto kusho kwa IGP ni Balozi wa Misri nchini Tanzania Wael Abdel Nasr(mwenye suti).
Posted by MROKI On Thursday, May 05, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo