Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2011

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa jengo la Kituo cha  Upasuaji , Tiba  na Mafunzo ya ugonjwa wa  moyo kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili, Dar es salaam Mai 6, 2011. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Blandina Nyoni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi na madaktari wa kitingo cha tiba ya figo kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili , Dar es salaam May 6 2011.
Posted by MROKI On Saturday, May 07, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo