Nafasi Ya Matangazo

May 17, 2011

 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati)akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana. NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.
 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia)akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana. NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo. Kushoto ni wabunge wa Viti Maalum Janeth Masabuli na Anna Lupembe (katikati)
 Wafanyakazi wa NBC wakionyesha cheti walichokabidhiwa na ALAT kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika mkutano huo.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano. NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana wakipata maelezo kuhusu huduma za kibenki zitolewazo na benki ya NBC kutoka kwa ofisa wa benki hiyo, Allie Iddi (kushoto). NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.
Posted by MROKI On Tuesday, May 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo